Zaburi 119:67-68
Zaburi 119:67-68 NEN
Kabla sijapata shida nilipotea njia, lakini sasa ninalitii neno lako. Wewe ni mwema, unalotenda ni jema, nifundishe maagizo yako.