Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:49-51

Zaburi 119:49-51 NEN

Kumbuka neno lako kwa mtumishi wako, kwa sababu umenipa tumaini. Faraja yangu katika mateso yangu ni hii: Ahadi yako inahifadhi maisha yangu. Wenye majivuno wamenisimanga bila kuchoka, hata hivyo sitaiacha sheria yako.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha