Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:43-45

Zaburi 119:43-45 NEN

Usilinyakue neno la kweli kutoka kinywani mwangu, kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika amri zako. Nitaitii amri yako daima, naam, milele na milele. Nitatembea nikiwa huru, kwa kuwa nimejifunza mausia yako.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha