Zaburi 119:41-42
Zaburi 119:41-42 NEN
Ee BWANA, upendo wako usiokoma unijie, wokovu wako sawasawa na ahadi yako, ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki, kwa kuwa ninalitumainia neno lako.