Zaburi 119:145-146
Zaburi 119:145-146 NEN
Ee BWANA, ninakuita kwa moyo wangu wote, nami nitayatii maagizo yako. Ninakuita; niokoe nami nitazishika sheria zako.