Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:143-144

Zaburi 119:143-144 NEN

Shida na dhiki zimenipata, lakini amri zako ni furaha yangu. Sheria zako ni sahihi milele, hunipa ufahamu ili nipate kuishi.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha