Mithali 31:10-11
Mithali 31:10-11 NEN
Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata? Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani. Mume wake anamwamini kikamilifu wala hakosi kitu chochote cha thamani.