Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 24:28-29

Mithali 24:28-29 NEN

Usishuhudie dhidi ya jirani yako bila sababu, au kutumia midomo yako kudanganya. Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; nitamlipiza mtu yule kwa kile alichonitendea.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 24:28-29

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha