Mithali 12:23-24
Mithali 12:23-24 NEN
Mtu mwenye busara hujihifadhia maarifa yeye mwenyewe, bali moyo wa wapumbavu hububujika upumbavu. Mikono yenye bidii itatawala, bali uvivu huishia katika kazi za utumwa.