Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mika 6:2

Mika 6:2 NEN

Sikilizeni, ee milima, mashtaka ya BWANA, sikilizeni, enyi misingi ya milele ya dunia. Kwa kuwa BWANA ana shauri dhidi ya watu wake; anatoa mashtaka dhidi ya Israeli.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha