Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 2:19-20

Luka 2:19-20 NEN

Lakini Maria akayaweka mambo haya yote moyoni mwake na kuyatafakari. Wale wachungaji wakarudi, huku wakimtukuza Mungu na kumsifu kwa ajili ya mambo yote waliyokuwa wameambiwa na kuyaona.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 2:19-20

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha