Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 19:5-6

Walawi 19:5-6 NEN

“ ‘Mnapotoa dhabihu ya sadaka ya amani kwa BWANA, toeni kwa namna ambayo itakubaliwa kwa niaba yenu. Sadaka hiyo italiwa siku iyo hiyo mnayoitoa, au kesho yake; chochote kitakachobaki hadi siku ya tatu lazima kiteketezwe kwa moto.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha