Yoshua 23:10-11
Yoshua 23:10-11 NEN
Mtu mmoja miongoni mwenu anafukuza watu elfu, kwa kuwa BWANA Mungu wenu anawapigania, kama alivyoahidi. Kwa hiyo kuweni waangalifu sana kumpenda BWANA Mungu wenu.