Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 37:12-13

Ayubu 37:12-13 NEN

Nayo mawingu huzungukazunguka pande zote kwa amri yake, juu ya uso wa dunia yote, kufanya lolote ayaamuruyo. Huleta mawingu ili kuadhibu wanadamu, au kuinyeshea dunia yake na kuonyesha upendo wake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 37:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha