Yohana 7:52-53
Yohana 7:52-53 NEN
Wakamjibu, “Je, wewe pia unatoka Galilaya? Chunguza nawe utaona kwamba hakuna nabii atokae Galilaya!” [ Kisha wakaondoka, kila mtu akarudi nyumbani kwake.