Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 5:5-6

Yohana 5:5-6 NEN

Mtu mmoja alikuwako huko ambaye alikuwa ameugua kwa miaka thelathini na minane. Yesu alipomwona akiwa amelala hapo, naye akijua kuwa amekuwa hapo kwa muda mrefu, akamwambia, “Je, wataka kuponywa?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 5:5-6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha