Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 17:14-15

Yohana 17:14-15 NEN

Nimewapa neno lako, nao ulimwengu umewachukia kwa kuwa wao si wa ulimwengu kama mimi nisivyo wa ulimwengu huu. Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde dhidi ya yule mwovu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 17:14-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha