Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 42:11-12

Yeremia 42:11-12 NEN

Msimwogope mfalme wa Babeli, ambaye sasa mnamwogopa. Msimwogope, asema BWANA, kwa kuwa niko pamoja nanyi, nami nitawaokoa na kuwaponya kutoka mikononi mwake. Nitawaonea huruma ili naye awe na huruma nanyi na kuwarudisha katika nchi yenu.’

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 42:11-12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha