Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 23:23-24

Yeremia 23:23-24 NEN

“Je, mimi ni Mungu aliyeko hapa karibu tu,” BWANA asema, “wala si Mungu aliyeko pia mbali? Je, mtu yeyote aweza kujificha mahali pa siri ili nisiweze kumwona?” BWANA asema. “Je, mimi sikuijaza mbingu na nchi?” BWANA asema.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha