Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waamuzi 2:8-9

Waamuzi 2:8-9 NEN

Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa BWANA, akafa akiwa na umri wa miaka 110. Wakamzika katika nchi ya urithi wake, huko Timnath-Heresi katika nchi ya vilima ya Efraimu, kaskazini ya Mlima Gaashi.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha