Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waamuzi 2:20-21

Waamuzi 2:20-21 NEN

Kwa hiyo BWANA akawakasirikia sana Israeli na kusema, “Kwa kuwa taifa hili limevunja Agano lile nililofanya na baba zao na hawakunisikiliza, mimi nami sitafukuza taifa lolote ambalo Yoshua aliliacha alipofariki.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha