Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waamuzi 2:15-16

Waamuzi 2:15-16 NEN

Popote Israeli walipotoka kwenda kupigana, mkono wa BWANA ulikuwa kinyume nao ili kuwashinda, kama vile alivyokuwa amewaapia. Nao wakawa katika taabu kubwa. Ndipo BWANA akawainua waamuzi, ambao waliwaokoa katika mikono ya hao watu waliowashambulia.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha