Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 66:5

Isaya 66:5 NEN

Sikieni neno la BWANA, ninyi mtetemekao kwa neno lake: “Ndugu zenu wanaowachukia ninyi na kuwatenga ninyi kwa sababu ya Jina langu, wamesema, ‘BWANA na atukuzwe, ili tupate kuona furaha yenu!’ Hata sasa wataaibika.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 66:5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha