Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 1:30-31

Isaya 1:30-31 NEN

Mtakuwa kama mwaloni wenye majani yanayonyauka, kama bustani isiyokuwa na maji. Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto, na kazi yake kama cheche ya moto; vyote vitaungua pamoja, wala hakuna wa kuuzima huo moto.”

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha