Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 4:4-6

Waebrania 4:4-6 NEN

Kwa maana mahali fulani amezungumza kuhusu siku ya saba, akisema: “Katika siku ya saba Mungu alipumzika kutoka kazi zake zote.” Tena hapo juu asema, “Kamwe hawataingia rahani mwangu.” Kwa hiyo inabaki kuwa wazi kwa wengine kuingia, nao wale wa kwanza waliopokea Injili walishindwa kuingia kwa sababu ya kutokutii.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 4:4-6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha