Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 4:41-42

Kumbukumbu 4:41-42 NEN

Kisha Mose akatenga miji mitatu mashariki ya Yordani, ambayo mtu yeyote aliyemuua mtu angeweza kukimbilia ikiwa amemuua jirani yake bila kukusudia na bila kuwa na chuki naye siku zilizopita. Angeweza kukimbilia katika mmojawapo ya miji hii na kuokoa maisha yake.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha