Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 4:39-40

Kumbukumbu 4:39-40 NEN

Kubalini na mweke moyoni leo kuwa BWANA ndiye Mungu mbinguni juu na duniani chini. Hakuna mwingine. Mshike amri na maagizo yake ninayowapa leo, ili mpate kufanikiwa ninyi na watoto wenu baada yenu, na mpate kuishi maisha marefu katika nchi awapayo BWANA Mungu wenu siku zote.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha