Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 6:19-20

Danieli 6:19-20 NEN

Asubuhi na mapema, mfalme akaondoka na kuharakisha kwenda kwenye tundu la simba. Wakati alipokaribia lile tundu, akamwita Danieli kwa sauti ya uchungu, “Danieli, mtumishi wa Mungu aliye hai! Je, Mungu wako unayemtumikia daima, ameweza kukuokoa kwa simba?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 6:19-20

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha