Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 19:5-7

Matendo 19:5-7 NEN

Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu. Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akawashukia, nao wakanena kwa lugha mpya na kutabiri. Walikuwa kama wanaume kumi na wawili.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 19:5-7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha