Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 19:19-20

Matendo 19:19-20 NEN

Idadi kubwa ya wale waliofanya mambo ya uganga wakaleta vitabu vyao na kuviteketeza kwa moto hadharani. Walipofanya hesabu ya thamani ya vitabu vilivyoteketezwa ilikuwa drakma 50,000 za fedha. Hivyo neno la Bwana likaenea sana na kuwa na nguvu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 19:19-20

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha