Tumesema nanyi wazi, enyi Wakorintho na kuwafungulieni mioyo yetu wazi kabisa. Sisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu kwetu. Sasa nasema, kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa.
Soma 2 Wakorintho 6
Sikiliza 2 Wakorintho 6
Shirikisha
linganisha matoleo yote: 2 Wakorintho 6:11-13
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video