Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 1:23-24

2 Wakorintho 1:23-24 NEN

Mungu ni shahidi wangu kwamba ilikuwa ni kwa ajili ya kuwahurumia ninyi sikurudi Korintho. Si kwamba tunatawala imani yenu, bali twatenda kazi pamoja nanyi kwa ajili ya furaha yenu, kwa sababu ni kwa imani mwasimama imara.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 1:23-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha