Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 6:2-3

1 Wafalme 6:2-3 NEN

Hekalu hilo Mfalme Solomoni alilojenga kwa ajili ya BWANA lilikuwa na urefu wa dhiraa sitini, upana wa dhiraa ishirini na kimo cha dhiraa thelathini kwenda juu. Baraza ya mbele ya Hekalu ilienea dhiraa ishirini kulingana na upana wa Hekalu na kujitokeza dhiraa kumi mbele ya Hekalu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 6:2-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha