Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Nyakati 24:19

1 Nyakati 24:19 NEN

Huu ulikuwa ndio utaratibu wao uliokubalika wa kuhudumu walipoingia katika Hekalu la BWANA kulingana na masharti waliyoelekezwa na Aroni baba yao, kama BWANA, Mungu wa Israeli, alivyokuwa amemwamuru.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Nyakati 24:19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha