Kumbukumbu la Sheria 33:22-23
Kumbukumbu la Sheria 33:22-23 BHN
Juu ya kabila la Dani alisema hivi: “Dani ni mwanasimba arukaye kutoka Bashani.” Juu ya kabila la Naftali alisema: “Ee Naftali fadhili, uliyejaa baraka za Mwenyezi-Mungu, nchi yako ni kusini kwenye ziwa Kinerethi.”